Mrembo Caroline Bernard akipungia mkono muda mfupi baada ya kutangazwa rasmi kuwa ndio Miss Univerce 2014,katika hafla iliyofanyika usiku huu kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip,Jijini Dar es Salaam.Picha na Othman Michuzi
Mrembo Calorine Bernard akipongezwa na washiriki wenzake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hongera Caroline.
    Hawa warembo nimewapenda. Nywele zao simpo.

    ReplyDelete
  2. She is simple but beautiful.

    hamna kujidai kama wale Miss Tz

    ReplyDelete
  3. Hapa ni dhahiri shahiri haki imetendeka hata kwa macho tu.

    ReplyDelete
  4. Huyu mshindi wa Miss Universe hapa ni mwakilishi wa Tanzania kwenye Miss Universe hasa au ana tofauti gani na miss universe atayepatikana Jan 2015 (huko wataenda wawakilishi wa nchi nyingi za dunia). Mfano nimeona statetement kwenye website inasema: "Miss Kazakhstan-2013 Aidai Isayeva will represent Kazakhstan at one of the most prestigious beauty pageants Muss Universe-2014 that will take place in Miami, United States on January 25, 2015,"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...