Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoka katika hospitali ya Johns Hopkins iliyopo Baltimore Maryland baada ya kutolewa nyuzi katika mshono baada ya kufanyiwa upasuaji wiki iliyopita.Rais Kikwete anatarajiwa kurudi tena hospitalini hapo Jumatatu kwa ukaguzi wa maendeleo ya kidonda na ushauri .Kulia kwake ni Daktari wa Rais Profesa Mohamed Janabi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amepumzika kwenye hoteli maalumu baada ya kutoka katika hospitali ya Johns Hopkins iliyopo Baltimore Maryland alikotolewa nyuzi katika mshono baada ya kufanyiwa upasuaji wa Tezi Dume wiki iliyopita.Rais Kikwete anatarajiwa kurudi tena hospitalini hapo Jumatatu kwa ukaguzi wa maendeleo ya kidonda na ushauri. Picha na Freddy Maro.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Tunashukuru mungu mh rais wetu anaendelea vizuri ningekua karibu ningeenda kumuona

    ReplyDelete
  2. Pole sana Mhe. Rais.
    Mungu akuponye haraka na urejee katika hali yako ya kawaida ili umalizie malengo ya moyo wako katika kuijenga nchi yetu.

    ReplyDelete
  3. Get well soon mr president...

    ReplyDelete
  4. Mola ni mwema sana na atazipokea dua za watanzania wote In sha allah upone haraka na aakufanyie wepesi kwa kila hatua iwe ya mafanikio na salama uweze rejea nyumbani Tanzania salaama salmin Ameen.

    Executive Chef

    ReplyDelete
  5. Mheshimiwa Rais, Mungu mwenye uwezo wote akuponye na kukutia nguvu.Ubarikiwe!

    ReplyDelete
  6. Utapona. Inshaallah

    ReplyDelete
  7. Pole Mh. Rais wetu. Mungu azidi kuimarisha afya yako.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...