Uongozi wa Azania Bank Ltd unasikitika kutangaza kifo cha Mfanyakazi mwenzao,Ndg. George Godwin Njabili kilichotokea jana Novemba 21,2014 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.

Mipango ya Mazishi inafanya nyumbani kwa Marehemu,Tabata Bima jijini Dar es Salaam.

Taarifa hii iwafikie Ndugu,Jamaa na Marafiki wote wanaomfahamu Marehemu Njabili,na tunamuombea kwa Mungu aiweke roho yake mahala pema Peponi,Amin.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...