Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Vijana wengi Africa ya Kusini ni wavivu sana. Hawapendi kufanya kazi. Wageni wanaoishi humo wana malengo na wanafanya kazi kwa akili ya maendeleo. Wivu wao ndo sababu za mauaji ya wageni. Fanya kazi kwa bidii na hakuna atakayekulaumu. Ni aibu sana kwa taifa la SA kwa tendo hili walilolifanya. Ulimwengu wote unawashangaa kwa ukosefu wa kufikiri tu.

    ReplyDelete
  2. Ulichosema mdau hapo juu ni kweli Kanisa - asilimia kubwa ya wasouth afrika kwanza hawajaenda shule wengi wao hawapendi Elimu pili wanachojua wao ni starehe na miziki tu ndio maana kama umegundua wanaelewana sana na watanzania maana vitabia vyao vinataka kufanana, ila hili lilitokea ni uzembe wa serikari yao maana hali hii imetengenezwa muda mrefu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...