Africando - miye na we

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Jamani wameishia wapi hawa jamma walikuwa wanapiga charanga la uhakika, mpaka na sisi tukazipenda nyimbo zao.

    Umenikumbusha Charles Hillary miaka ile na kipindi chake cha charanga time!

    My my my, how time flies!

    ReplyDelete
  2. Gold that glitters for ever!

    ReplyDelete
  3. Weka na ule wimbo wao Charles Hillary alikuwa anauita Kashaloa kashaloa. Mzee wa macharanga karudi...lol!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...