Mabasi yakipimana ubavu katika barabara kuu kuelekea Morogoro hivi karibuni.  Kwa mtaji huu ajali zitaisha kweli?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Ayayayayayaya! lo! masikio dawa. Hayasikii, hayaguswi wala hayaambiliki. Ee Mungu wewe pekee tu ndiye wa kuheshimiwa. Uwafikishe salama wasafiri wetu.

    ReplyDelete
  2. serikali isigombane na hawa madereva iwaphase out kwa kuandaa wasomi walionolewa na matajiri wapwewe masharti ya kuajiri ama hawa wana akili sawa na wanyama wa porini.ajali zote za hii nchi zinazuilika

    ReplyDelete
  3. Haya madereva mapumbavu halafu hayataki kwenda shule!

    ReplyDelete
  4. Ajali hazitokwisha mpaka abiria nao wajitolee kukemea madereva wakiona mwendo si wa kawaida wajue kufika si muhimu kuliko uhai wao

    ReplyDelete
  5. Hii ni hatari halafu yakitokea yakutokea tuanze kuilaumu serikali

    ReplyDelete
  6. Kwa mtaji huu, kusoma kila baada ya leseni kuisha ni muhimu. Hata kwa kila mwezi wasome tu iko siku wataelewa.

    ReplyDelete
  7. HII MIDEREVA HAINA AKILI NDIO MAANA INAGONGANA USO KWA USO

    ReplyDelete
  8. Kamanda Mpinga upoooo??????? Hapo ushahidi wa kila kitu unacho....

    ReplyDelete
  9. Pesa mbaya. hapo akidakwa anahonga anaendelea na mauaji

    ReplyDelete
  10. Askari trafiki wote hata wanawake wana vitambi. Kwa nini??

    ReplyDelete
  11. There is a solution.
    The bus has a registration number, the govt should pass a law that a bus with a photographed number recorded breaking the law should be confiscated, period.

    ReplyDelete
    Replies
    1. This is good point video technology can help to nail down all who break the law this will make owners take full responsibility of hiring drivers

      Delete
  12. Abilia mpo humondani ya gari au ! Gari inaendeshwa tupu? Mkemeeni dereva huyo , huyo dereva sijui ameingiwa na pepo wawapi huyo , sijui kichwani kwake kumejaa nini huyo , au amekula maharagwe ya wapi huyo ! Madereva wa mabasi hatuwaheshimu tena hao ! Lazima serikali iwakalIshe darasani hao !

    ReplyDelete
    Replies
    1. Abiria watafanya mini ? Wabongo walivyo waoga na mbumbumbu wa haki zao Kama wateja. Ukianzisha kumkemea dereva utabaki peke yako, wengine wrote watakuwa kimya au dhidi yako. Ndivyo tulivyo, tunasubiri wafadhili wake kubadilisha hii halo. We Barbara zilizobuniwa miaka ya mkoloni ndio hizo hizo zinatumika mpaka Leo, hats hatujafikiri kuongeza upana, lakini tumeongeza idadi ya magari zaidi ya Mara milioni kadhaa. Kila kitu serikali, je wewe mwananchi wa nchi hii umefanya nini kubadilisha hali hii ?

      Delete
  13. Du ajali hiyo

    ReplyDelete
  14. Kuovertake kupo ila kinachotakiwa ni dereva kuzingatia kanuni za kuovertake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...