Hivi ni lini uendeshaji wa aina hii utasitishwa hapa nchini, Maana haiwezekani mtu anaendesha gari iliyobeba abiria na anaamua kuyapita mabari mengine na ili hali mbele kuna magari mengine yanakuja. huu ni uzembe wa hali ya juu na unapaswa kukomeshwa kabisa. hii ni jioni ya leo katika Kijiji cha Vikindu, Mkoani Pwani na hiyo gari Namba zake za usajili ni T 386 AVR, Toyota Hiace.
Sasa ona anavyolazimisha kurudi kwenye njia husika.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Nanukuu kauli ya muheshimiwa waziri mkuu NA WAPIGWE TU ! Maana hawasikii ! Asikudanganye mtu alekwenda shule amekwenda tu , madereva lazima waende darasani kila baada ya miaka 3 ! Hilo halimuhusu muajili ! Muda wa leseni yako ukiisha tu uenf mwenyewe kwa ghalama zako mwenyewe ! Hutaki fanya kazi nyingine achana na udereva , chinjachinja wakubwa nyie !

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mcheki yule konda alivyojiachia km mimi ndio naendesha ile costa napiga bonge la pasi yaani kifua chote nakipitia halafu dereva namwachia kiuno na miguu then inakuwa vundisho kwa makonda

      Delete
  2. Polisi tupeni basi taarifa kama huyu dereva tayari mmeshamnyang'anya hiyo leseni yake. Apewe tu, baada ya kuenda shule tena na kufaulu Driving Theory pale chuo cha Usafirishaji Mabibo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...