Mratibu wa utamaduni wa Ubalozi wa Uswisi Kwame Mchuru akizungumza na wandishi wa Habari wakati wa uzinduzi wa nyimbo mpya leo katika ukumbi wa Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam, kulia ni Mwimbaji wa Bendi ya Mlimani Park Hassani Bichuka.
Mwimbaji wa Bendi ya Mlimani Park Abdala Hemba akifafanua juuya wimbo mpya ambao umezinduliwa hii leo jijini Dar es Salaam,kulia ni Mpiga gita la bezi wa Bendi ya Mlimani Park Karama Tony na kushoto ni Mwimbaji wa Bendi ya Mlimani Park Hassani Bichuka.
Baadhi ya vijana wa Bendi ya Mlimani Parkw wakitumbuiza wakati wa uzinduzi wa wimbo mpya katika ukumbi wa habari MAELEZO leo jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya waandishi wa Habari waliohudhulia katika uzinduzi wa wimbo mpya wa Bendi ya Mlimani Parkleo jijini Dar es Salaam. (PICHA NA EMMANUEL MASSAKA)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 06, 2015

    Mlimani Park Band iwe wimbo na video yake maana siku hizi audio pekee yake bila video inakuwa ngumu sana kuteka nyoyo za washabiki kidakidaki wa muziki wa dansi.

    Anakal, video zao waambie view mfano wa live-band-perfoamnce hata ikiwa ktk ukumbi wa muziki bila washabiki ila muhimu kuona safu zote za wana-bendi kuanzia waimbaji, wapiga ala na zana za upepo ila chonde chonde wacheza show msiweke.

    Bichuka na wenzio angalieni video ya Msondo Ngoma Band na video clip yao ya Ndoa Ndoano iliyopo youtube https://www.youtube.com/watch?v=yYXLhDMTI-8 chini ya King Dodoo

    Mdau
    Christos Papachristou
    Diaspora

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...