Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Magembe akiteta jambo na Waziri wa Katiba na Sherila, Dkt. Asha Rose Migiro, bungeni mjini Dodoma leo Mei 22, 2015.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano, Samia Suluhu ( kushoto) akizungumza na wabunge kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma leo Mei 22, 2015. Kutoka kushoto ni Munge wa Magomeni, Mohammed Chombo, Mbunge wa Mfenesini, Nasib Omar, Mbunge wa Viti Maalum, Asha Jecha na Mbunge wa Viti Maalum Kiumbwa Makame Mbaraka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...