Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa sita kulia) pamoja na Viongozi na wananchi wa wakiwa katika swala ya Magharibi iliyoswaliwa katikaviwanja vya Ikulu Ndogo Mkokotoni jana jioni wakati wa futari iliyotayarishwa kwa Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein   (katikati) akiwana na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja katika futari ya pamoja nao alipowaalika   katika viwanja vya Ikulu Ndogo Mkokotoni jana jioni.
 Mke wa Rais wa Zanzibar na Mama Mwanamwema Shein (katikati)  akiwa na Viongozi katika futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein kwa Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja katika viwanja vya Ikulu Ndogo Mkokotoni
 Akinamama wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakiwa katika Futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika viwanja vya Ikulu Ndogo Mkokotoni. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiagana na Viongozi na Wananchiwa Mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya futari aliyowaalika   katika viwanja vya Ikulu Ndogo Mkokotoni.
Picha na Ikulu, ZNZ

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...