NA NASIBU MGOSSO.
Awali ya yote nichukue fulsa hii kuomba radhi kwa makosa ya kiuandishi yaliyo jitokeza katika makala iliyopita ambayo mwanzoni mwa paragrafu ya kwanza nilianza kueleza moto nikitugani, lakini katika maelezo kulitokea mkanganyiko, Sehemu hiyo ilipaswa isomeke hivi:
Moto ni mgongano endelevu wa kikemikali ambao uzaa joto na mwanga. Mgongano huo endelevu utasababisha muwako ambao utaendelea kukua endapo utapata vitu vikuu vitatu ambavyo ni joto, hewa ya oksijeni na kuni(vitu vinavyoungua). Vituhivyo kitaalam tunaviita ’fire element’.
Oksijeni nimiongoni mwa vitu vinavyo saidio moto kuwaka haizalishwi na moto kamailivyo someka katika makala iliyo pita.
Baada ya marekebisho hayo sasa tuendelee na kinga na taadhari dhidi ya moto.
Kunavyanzo vingi vya moto lakini chanzo kikubwa ni sisi Binadamu kwa sababu ya asili na alakati za maisha ya kila siku kuhusisha matumizi ya moto kwa maana ya mwako, nishati ya umeme pamoja na vyombo vya usafiri na usafirishaji. Katika mahitaji hayo inatulazimu kujenga urafiki na moto bila kujali hatari iliyopo.
Aina ubishi kwamba moto ni nyenzo muhimu katika maisha yetu ya kila siku, na niadui yetu mkubwa sana anaye penda kutu shambulia akitokea ndani ya jengo au chombo .
Michuzi,
ReplyDeleteKuna umuhimu wa waandishi wa makala kuandika maneno kwa ufasaha, mfano ktk makala hii muhimu makosa ya kiuandishi ni mengi na aibu kubwa kwetu Waswahili :
''Aitha''= Aidha
''Aina'' = Haina
''Fulsa'' = Fursa
Yaani hata kusoma hii makala inatia hasira sana.
Mdau
Christos Papachristou
Diaspora
Alakati-Harakati
ReplyDeleteUalibifu-Uharibifu
Badirisha-Badilisha
Ajari-Ajali
Inaonekana Mzee Kifimbo cheza amestaafu.
Dr Bitozi.
Mamtoni.