Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa (Kulia) akipiga makofi mara baada ya Mgeni rasmi kufungua Kikao cha Pili cha Baraza la Nne la Wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu lililofanyika jana katika ukumbi wa Hazina Ndogo mkoani Dodoma. Kushoto kwake ni Katibu wa Baraza hilo Magreth Jacob.
 Mgeni rasmi,  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Selina Kombani akimkabidhi cheti Mfanyakazi bora wa mwaka 2014 Joshua Mwaisemba mara baada ya kufungua Kikao cha Pili cha Baraza la Nne la Wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu lililofanyika jana katika ukumbi wa Hazina Ndogo mkoani Dodoma.
 Mgeni rasmi,  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Selina Kombani akimkabidhi hundi mmoja wa wastaafu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Ibrahimu Masanja mara baada ya kufungua Kikao cha Pili cha Baraza la Nne la Wafanyakazi wa Ofisi hiyo lililofanyika jana katika ukumbi wa Hazina Ndogo mkoani Dodoma
Mgeni rasmi,  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Selina Kombani (wa tatu kutoka kushoto) akiwa na menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu mara baada ya kufungua Kikao cha Pili cha Baraza la Nne la Wafanyakazi wa Ofisi hiyo lililofanyika jana katika ukumbi wa Hazina Ndogo mkoani Dodoma.
Picha na Veronica Kazimoto

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...