Baadhi ya Maafisa Waandamizi, Wakaguzi, Wakaguzi Wasaidizi, Stesheni Sajini, Sajini na Koplo wa Vikosi vya Majeshi ya Ulinzi na Usalama wakifuatilia masuala mbalimbali wakati hafla ya utoaji wa nishani ya utumishi uliotukuka Tanzania, nishati ya utumishi wa muda mrefu na nishani ya utumishi wa muda mrefu na tabia iliyofanyika jana (Jumanne Septemba 1, 2015) Ikulu Jijini Dar es Salaam.
 Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa majeshi ya vikosi vya Ulinzi na Usalama mara baada ya hafla ya utoaji wa nishani kwa Maafisa Waandamizi, Wakaguzi, Wakaguzi Wasaidizi, Stesheni Sajini, Sajini na Koplo wa Vikosi vya Majeshi ya Ulinzi na Usalama wakati wa hafla ya utoaji wa nishani ya utumishi uliotukuka Tanzania, nishati ya utumishi wa muda mrefu na nishani ya utumishi wa muda mrefu na tabia iliyofanyika jana (Jumanne Septemba 1, 2015) Ikulu Jijini Dar es Salaam.
1   Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Kikwete akimtunuku ACP Bakari Namkaa Ndembo nishani ya utumishi mrefu Tanzania katika hafla iliyofanyika jana jumanne (Septemba 1, 2015) Ikulu Jijini Dar es Salaam.

(PICHA NA ISMAIL NGAYONGA- MAELEZO)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. HABARI NI UHURU, HEKIMA, NA AMANI.
    Kwa habari hii nimejionea mwenyewe nimeamini sasa. kumbe inspector wa polisi mpaka warakibu waandamizi ni NCO. Kwa hiyo usipopiga saluti si kosa kijeshi hata kama ni askari polisi au magereza. kwa nini haya hayako wazi maana twishasikia na kuona JWTZ nyota 1 adai saluti kwa polisi nyota 3. kiakili haikubaliki lakini kisheria naona sawa. Habari ni uhuru na hekima.Natumai wahusika watafata sheria kama walivyoapa.
    Namshukuru Mungu kuacha polisi kabla sijawa na nyota 2 maana kisheria ningempigia saluti JW mwenye nyota 1.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...