Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Hutoba nzuri sana hii. Imegusia mambo yote muhimu ambayo inafaa yafanyike ili Tanzania iendelee.

    ReplyDelete
  2. Nakumbuka Nyerere akiwa rais, hakuwa mtu anayesoma hotuba zake. Inawezekana kamaziliandikwa, alitumia muda kuhakikisha aanazisoma mapema na kufanya ufupisho uliomsaidia kuzungumza hadharani bila kudoma. Rais Magufuli anadhihirisha kwa kiwango cha juu kulimudu hilo. Hii inaonesha si mambo anayokariri. Ni mambo anayoyajua, anayawaza kila mara na yanamkera toka moyoni. Hataweza kumaliza kila tatizo siku 1 au miaka 5, lakini angalau anaonesha kuchukizwa na kero nyingi kwa dhati. Nina amani sana na uchaguzi ulivyofikiwa na Watanzania walio wengi kumchagua yeye kuwa amiri jeshi na mkuu wa jamhuri ya Muungano. Mimi binafsi nilipenda tupate kiongozi anayesukuma mabadiliko katika nchi yetu, na si chama. Nina imani naye. Mungu ambariki.

    Marko Mwipopo,
    USA

    ReplyDelete
  3. Mdau wa pili nadhani unazumgumzia jambo ambalo hulijui. Magufuli alikuwa anasoma hiyo hotuba kwa kutumia Teleprompter- the presidentials. Kama utaangali vizuri kuna vioo viwili mbele yake upande wa kulia na kushoto. Kwenye hivyo vioo kuna maandishi yanayoonekana upande wake tuu na hayaonekani upande wa pili. Hivyo hapo anasoma siyo anatoa kichwani. Kama unataka kujua zaidi angalia video hii: https://www.youtube.com/watch?v=3PvBoZuX1ig

    Mzozaji

    ReplyDelete
  4. MR.Mzozaji hapo juu bila shaka hujafuatilia hotuba nyingi za Magufuli. Nakubali ni kati ya watu Waongeaji(orator) siyo wakati wote hutumia teleprompters(or whatever you call it),mfano wakati wa kampeni zake,kwani hakuwa anatumia teleprompter yeyote,na ujumbe wa hotuba zake zilikuwa bayana na kueleweka kwa wasikilizaji.
    Kama umewahi kufuatilia hotuba za watu mbalimbali Waongeaji (mfano Obama,J.Kennedy,M.Jakson,Luther King, au hata Mandela,Nyerere,Nkuruma na wengine wengi.
    Swala hapa ni kuwa na uwezo wa kuhutubia watu na wao kirahisi kukuelewa, hiyo Magufuli anaweza.

    ReplyDelete
  5. Mdau hapo juu. Ni kweli alikuwa anasoma. Ila sehemu kubwa alitoa kichwani maana muda mwingi aliutumia kuangalia mass. Alikuwa akisoma kwa dondoo staili. Mpe heshima yake ya kuelewa na kujua alichokuwa anakiongea. JPM ameonesha tofauti ya kuhutubia kwani alikuwa hasomi mstari kwa mstari. Tunamwombea Mungu ampe maisha marefu.

    ReplyDelete
  6. Raisi hatakiwi asome mstari kwa mstari. Ukisoma mstari kwa mstari utaboa watu hiyo ni kwa mtu yeyote. Suala lilikuwa kwenye hii hotuba sikuwa nazungumzia issuw za kampeni. Pale iunasoma ila unakuwa na dondoo tu sio mstari kwa mstari. Issue ni kwamba kulikuwa na usomaji.
    Mzozaji

    ReplyDelete
  7. Lengo ni kwamba asome au asisome ilimradi anachotamka awe anakimaanisha na kukielewa anachokisema

    ReplyDelete
  8. Safi Ndugu Daniel, awe amesoma au hajasoma hotuba kwangu siyo hoja. Muhimu ni kwamba anachokisema kina tija gani kwa wananchi. Jambo la msingi hapa ni kwamba wenye kupenda, wasiopenda ukweli utabakia vile vile kuwa tumempata Rais. Ni miongoni mwa Marais Bora. MUNGU aendelee kumbariki - Muzee Malima.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...