Mapema leo asubuhi katika Kitua cha Daladala cha Posta Jijini Dar, Kamera ya yetu imeinasa taswira hii ya Mwanadada huyu akipanga biashara yake ya hela za sarafu (Coins) tayari kwa kuwauzia makondakwa wa daladala.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. JAMANI BENKI KUU YETU (BOT) MKO WAPI????
    KWANINI PESA NDOGONDOGO ZINAPOTEA KWENYE MZUNGUKO WA FEDHA HADI KULETELEZA FEDHAA KUWA BIDHAA ADIMU HADI INAUZWA????
    TAFAKARI!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...