Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira , January Makamba akisisitiza jambo kwa Balozi wa Uturuki Ms.Yasemin Eralp,alipomtembelea Ofisini kwake Mapema hii leo kwa ajili  ya utambulisho pamoja na kujadili mambo Mengine yanayohusu Mahusiano kati ya Tanzania na Uturuki.

 Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira  Mh .January Makamba akisisitiza jambo kwa Balozi wa Uturuki Ms.Yasemin Eralp,alipomtembelea Ofisini kwake Mapema hii leo kwa ajili  ya utambulisho pamoja na kujadili mambo Mengine yanayohusu Mahusiano kati ya Tanzania na Uturuki.
Waziri  wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. January Makamba wa kwanza kushoto akielezea jambo kwa Balozi wa Uturuki Ms.Yasemin Eralp wa pili kutoka kushoto mapema hii leo alipomtembelea ofisini kwake, wengine ni Bw. Berat Colak aliyeambatana na balozi na anayefuatia Dr. Julius Ningu Mkurugenzi wa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...