Mkurugenzi wa elimu ya watu wazima na elimu nje ya mfumo rasmi, Salum Mnjagila akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na vipaumbele vya elimu kwa miaka mitano ijayo hapa nchini.
Amesema kuwa mfumo wa usio rasmi ijadiliwe katika mitaala mbalimbali ya kufundishia pamoja na tathmini ya hali ya mitihani na ufaulu wa wanafunzi.
Mwakilishi wa UNESCO, Zumira Lodriguz akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam wakijadili masuala ya elimu baada ya miaka 5 ijayo jinsi itakavyo kuwa.
 Baadhi ya wadau wa elimu na wawakilishi wa shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia Elimu,  sayansi na utamaduni wakijadiliana mambo mbalimbali ya elimu hapa nchini baada ya miaka mitano.
Picha na Avila Kakingo wa Globu ya Jamii.
 KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...