Daktari Bingwa wa Kinywa na Meno wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Conrad Mselle akimfanyia usafi wa nywele mmoja wa watoto wanao lelewa katika Kituo cha watoto wenye ulemavu wa ngozi waliopo Buhangija Mkoani shinyanga walipofika katika kituo hicho kwa mwendelezo wa Wiki ya Afya ya Kinywa na Meno ambapo kilele chake ni Machi 20, Mkoani Morogoro.
Daktari Bingwa wa Kinywa na Meno wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Conrad
Mselle akimfanyia uchunguzi wa Afya ya Kinywa na Meno Mwanafunzi wa Darasa
la pili Lucia Eliasi wa Kituo cha watoto wenye ulemavu wa ngozi kilichopo Mkoani Shinyanga, Buhangija ambapo ni mwendelezo wa wiki
ya kinywa na meno duniani na kwa leo wameonwa watoto157 na kesho ni mwendelezo wawale waliokutwa na matatizo.
Daktari bingwa wa Afya ya Kinywa na Meno Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga
Dk. Nuru Mpuya na akimwakilisha Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dk.
Ntuli Kapologwe, akizungumza jambo, kushoto ni Kiongozi wa Msafara Dk. Arnold Mtenga
msimamizi wa Kituo cha Buhangija na Mwalimu wa Elimu Maalum na watoto wasioona, Sasu Nyanga , akiwakaribisha Madaktari bingwa wa Afya ya Kinywa na Meno.
Kwa habari na picha zaidi BOFYA HAPA
Kwa habari na picha zaidi BOFYA HAPA
Dr Conrad Mselle Mungu akuabariki Zaidi kwa kitendo cha kumfanyia usafi wa kichwa pia huyo mtoto ni upendo wa ziada ya kile kilichokupeleka hapo kituoni
ReplyDelete