Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange (wa tatu kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa wapya wa Mikoa ma Jenerali wastaafu mara baada ya kuapishwa, walipomtembelea ofisini kwake Upanga Dar es salaam. Kutoka kushoto ni Meja jenerali mstaafu Raphael Muhuga (Mkuu wa Mkoa wa Katavi),Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu (Mkuu wa Mkoa wa Kagera),kutoka kulia Brigedia Jenerali mstaafu Emmanuel Maganga (Mkuu wa Mkoa wa Kigoma) na Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga (Mkuu wa Mkoa wa Geita).Kushoto kwa Mkuu wa Majeshi ni Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Venance Mabeyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...