Watuhumiwa wa Tukio la Ujambazi, wakiwa chini ya ulinzi wa Polisi mara baada ya kukamatwa mchana huu katika eneo la Kariakoo, Jijini Dar es salaam.

Sehemu ya Umati wa watu wakishuhudia tukio la kukamatwa kwa Watuhumiwa hao wa tukio la Ujambazi.
Taarifa kamili itakujia baadae kidogo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Jeshi la Polisi linatakiwa kuwa makini na kuwabana hawa jamaa wanaokatwa kutaja mitandao yao. Hii itapunguza kuenea kwa ujambazi. Kama Polisi hawawezi waanzishe hotline ili wananchi wawataje majambazi na Polisi wafanye uintelijensia wao kulipunguza au kulimaliza hili tatizo,unless otherwise. Inasadikiwa kuwa baadhi ya Polisi,wafanyakazi wa mabenki,maduka nk wanasaidiana na hawa jamaa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...