Gari lenye namba za usajili T 369 BUZ linalomilikiwa na Kampuni ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASCO) likiwa limeparamia kituo cha mabasi
baada ya gari hilo kukosa mwelekeo na kugonga
kituo hicho na kujeruhi abiria watatu waliokua kituoni hapo majira ya
Saa 2 usiku jana eneo la Mbuyuni, Barabara ya Bagamoyo Dar es Salaam
(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Hii ndio TZ bana
ReplyDelete