Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 25, 2016

    The mdudu, vichwa tunavyo ndani ya Tanzania yetu angalia kichwa makini hiki yaani mpaka inatia uchungu vyote anavyosema ni ukweli mtupu waandishi wa habari ndugu zangu mbadilike muipende nchi yenu ndio maana huwa mnachemsha vibaya sana kwenye AWARDS za CNN za wana habari bora zote huwa zinaenda West Africa tunaomba mbadilike ili kuandika vitu vyote vya maana kwenye Tanzania yetu na kuitetea kwa nguvu zote ili na sisi tufike wakati tushinde hizo AWARDS za CNN Tanzania kwanza ujinga na upumbavu hatutaki

    ReplyDelete
  2. Huyu jamaa kweli ni kichwa na anaona mbali. Kuna simulizi kwamba Stalin aliwahi kuwaaambia Ma Engineer wa design tractor kwa muda fulani na waliweza. Wakati mwiningine nchi ili iendelee inatakiwa kwenda kwa udikteta kidogo. Makufuli si dikteta ila yeye ni mkweli na ukweli siku zote unauma. HAPA KAZI TU... Endelea Mheshimiwa Makufuli uibadilishe Tanzania kuzidi SINGAPORE!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...