Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara, Rajab Luhwavi akivishwa Skafu na Kijana wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Omari Salum, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa wa Pwani, Wilayani Kibaha mkoani humo leo. Katikati ni Katibu wa CCM mkoa wa Pwani Joyce Masunga na kulia ni Katibu wa UVCCM wilaya ya Kibaha, David Malecela.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Rajab Luhwaavi, akiongozana na Katibu wa CCM mkoa wa Pwani, Joyce Masunga, kwenda Ofisi ya CCM mkoa wa Pwani, wilayani Kibaha leo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwai akisalimia baada ya viongoi baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Pwani, kuzungmza na wafanyakazi wa CCM mkoa wa Pwani wilayani Kibaha leo .
Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara Rajab Luhwavi akizungumza na wafanyakazi wa CCM kutoka wilaya zote za mkoa wa Pwani, katika kikao chake na wafanyakazi hao kilichofanyika wilayani Kibaha mkoa wa Pwani. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...