Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-ughaibuni au viumbe wa ajabu Anunnaki aliens inayoongozwa na mwanamuziki mashuuri Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja inaungana na wadau wote wa habari duniani kwa kuwatakia kila la heri na baraka wanahabari na vyombo vyao kwa kusherehekea siku ya Uhuru wa Habari duniani.Bendi inaungana na wadau wote wa habari kwa wimbo maarumu wa "Uhuru wa Habari" utunzi wake kamanda ras Makunja . Sikiliza song: Uhuru wa Habari.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 02, 2016

    duh maafande wa ffu ughaibuni umetisha na ngoma yenu hii kazi nzuri sana

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 02, 2016

    Ze ngoma africa band aka ffu aka viumbe wa ajabu watoto wa mbwa bwakaaaa !!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 02, 2016

    ankal michuzi hawa vichaa wetu ffu hivi wana akili nzuri kweli? inawezekana wamedata akili na ngoma zao

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 02, 2016

    Watoto wa mbwa Ngoma Africa band kanyaga twende bwakaaa wuh wuh wuh

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...