Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Atukumbuke watu katavi mpanda tupo kisiwani hatuna barabara hata moja ya lami

    ReplyDelete
  2. MUNGU AZIDI KUMLINDA JPM,ILI ATUMBUE MAJIPU VIZURI

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 06, 2016

    The mdudu, Asante sana rais wetu mpendwa JPM tupo pamoja Tanzania yetu si shamba la bibi tena nyoosha nchi yetu maana ilipinda pinda pasipo na maelezo,,,, hata hao wapinzani wanapinga kila kitu sisi wananchi tushaweka pamba masikioni hata waseme nini sisi hatusikii la mtu zaidi yako wewe rais wetu mpendwa JPM

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 06, 2016

    Watanzania tukubali kiza kwa wakati huu ili tuweze kupata mwanga mkali wa mafanikio, kikubwa ni kumpa sapoti raisi wetu na tujue mambo haya ni mnyoosho tu, siku zote chanzo cha alfajiri ni kiza kinene cha usiku wa manane

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...