Dkt. Asha-Rose Migiro kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Ushauri tu:

    Najua wadhifa aliopewa huo ni kwa ajili ya kutumikia Tanzania yetu bila kinyongo cha kuonekana kuwa ameshushwa cheo. Huo ni uzalendo wa hali ya juu kabisa.

    Lakini huyu mama aliyebobea kisheria ana kidplomasia tungempeleka tena chuo kikuu kuwafundisha na kuwanoa wanafunzi wetu wa fani ya sheria na diplomasia. Mwalimu ni mnoaji wa wataalamu wa kesho; hii ni heshima inayopaswa kupewa haki yake.

    Kwanza alishawahi kupanda cheo hadi kuwa Waziri wa Mambo ya nchi za Nje na wmabalozi wote walikuwa chini yake. Zaidi alipanda na kuwa Naibu Katibu wa Umoja wa Mataifa akisimamaia matakwa ya nchi zote ulimwenguni kupitia Mabalozi wa Kududmu chini ya Mawaziri wa Nchi za Nje wote duniani.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 05, 2016

    From Deputy SG - UN, Minister of FA to Ambassador! Congratulations

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 05, 2016

    Tunakutakia kazi njema unapotuwakilisha katika uteuzi huu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 05, 2016

    Ikulu ya Chamwino si Ikulu ndogo. Hivi makao makuu ya serikali yako wapi?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 05, 2016

    Rommel, hivi akitaka sianaweza kuchagua kozi moja anayoipenda, anayoijali zaidi, halafu akaifundisha kupitia mtandao WEBINAR popote atakapopangiwa kazi duniani?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...