Rais wa Jahuri ya Kenya Mh. Uhuru Kenyatta akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mh Raila Odinga wakati alipomkaribisha Ikulu kwa Chakula cha Mchana na Mazungumzo katika Ikulu ya Nairobi kwa mwaliko wa Ikulu ambapo viongozi wa Chama cha CORD walialikwa kwa ajili ya maadhimisho ya sherehe za siku ya Mdaraka (Madaraka Day)inayotarajiwa kufanyika kesho mjini Nakuru nchini humo, Kulia ni Makamu wa Rais wa Kenya Mh. William Ruto na Kushoto ni Gavana Mosess Watangula.
Rais wa Jahuri ya Kenya Mh. Uhuru Kenyatta kulia akiongozana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mh Raila Odinga wakati Waziri Mkuu huyo mstaafu alipoalikwa katika Ikulu ya Nairobi kwa chakula cha mchana na maadhimisho ya Madaraka Day yanayotarajiwa kufanyika Kesho mjini Nakuru, Kushoto ni Gavana Mosess Watangula.
Rais wa Jahuri ya Kenya Mh. Uhuru Kenyatta akipozi kwa picha na Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mh Raila Odinga wakati Waziri Mkuu huyo mstaafu alipoalikwa katika Ikulu ya Nairobi kwa chakula cha mchana na maadhimisho ya Madaraka (Madaraka Day) yanayotarajiwa kufanyika Kesho mjini Nakuru, kulia ni Makamu wa Rais wa Kenya Mh. William Ruto na Kushoto ni Gavana MOsess Watangula.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...