Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na baadhi ya waheshimiwa wengine wakisimama Jukwaa kuu wakati wakipokea rasmi maandamano ya Wafanyakazi wakati wa sherehe za maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) zilizofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, leo Mei 1, 2016.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni PPF, wakiwa katika maandamano wakipita mbele ya mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (hayupo pichani) wakati wa sherehe za maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) zilizofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, leo. Picha zote na Mafoto Blog
Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.
Raawu......
sikukuu ya wafanyakazi ilikuwa nzuri, hotuba ya Raisi ilikw nzuri ila HALOTEL walitisha sana kuwapa wizara ya mambo ya nje miamvuli ya kujikinga na jua na mvua, huu ni mfano mzuri wa kuigwa kama kampuni ya mawasiliano wanatakiwa kujali serikali
ReplyDeletesiku ya wafabnyakai ilikuwa nzuri sana, ila nawapongeza Halotel kwa kuwapa wizara ya mambo ya nje miavuli kujikinga na mvua na jua.inaonyesha inaijali serikali .huu ni mfano mzuri kuigwa na kampuni nyingine
ReplyDelete