ASKOFU wa  Mkuu wa Jimbo katoliki la Arusha, Mhashamu Askofu, Josephat Louis Lebulu  ametoa Sakramenti ya Kipaimara kwa watoto 26 wa Parokia ya Bikira Maria mama wa Huruma- Mbezi beach  jimbo kuu la Dar es Salaam jana Juni 19,2016.
Askofu wa  Mkuu wa Jimbo katoliki la Arusha, Mhashamu Askofu, Josephat Louis Lebulu(Mwenye Kofia ya Kichungaji) akiwa katika picha ya pamoja na watoto 26 waliopata Kipaimara jana  pamoja na viongozi mbalimbali wa Parokia ya Bikira maria Mama wa Huruma Mbezi beach jimbo kuu la Dar es Salaam.
 Baadhi ya watoto wakiandamana kuelekea ndani ya kanisa kwaajili ya Kupata Sakramenti ya Kipaimara.
Watoto wakienda kumpongeza Askofu wa  Mkuu wa Jimbo katoliki la Arusha, Mhashamu Askofu, Josephat Louis Lebulu(Mwenye Kofia ya Katikati kwa kufika katika Parokia ya Bikira Maria mama wa Huruma- Mbezi beach  jimbo kuu la Dar es Salaam jana Juni 19, 2016. 
Askofu wa  Mkuu wa Jimbo katoliki la Arusha, Mhashamu Askofu, Josephat Louis Lebulu (Aliyevaa  Msalaba) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya waumini wa Parokia ya Bikira maria Mama wa Huruma Mbezi beach jimbo kuu la Dar es Salaam mara baada ya kutoa Sakramenti ya Kipaimara kwa watoto 26 wa Parokia hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 20, 2016

    KATORIKI? hivi sikuhizi hamfundishwi Kiswahili fasaha huko mashuleni?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...