Katika kuboresha huduma bora kwa jamii Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limeandaa banda maalum kwa ajili ya kusikiliza kero mbalimbali, kutoa elimu juu ya kazi zetu sambamba na kupokea maoni toka kwa wananchi ili kuboresha huduma za zimamoto na maokozi katika jamii. 
Maadhimisho haya yatafanyika kuanzia tarehe 27 - 30/06/2016 katika viwanja vya kituo cha Zimamoto na Uokoaji Ilala jijini Dar es salaam
katika utekelezaji wa maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma nchini kwa mwaka 2016.
“Wote Mnakaribishwa”
IMETOLEWA NA JESHI LA                                                                                  ZIMAMOTO NA UOKOAJI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...