Mdau Juma Mohammed Salum wa Idara ya Habari (MAELEZO Zanzibar) akiwa na mhitimu mwenzake wa PhD ambao wametunukiwa vyeti vyao jana na Chuo Kikuu cha Shanghai International Studies University katika mahafali yaliyofanyika Chuoni hapo jana. 
 Juma Mohammed Salum wa Idara ya Habari (MAELEZO Zanzibar) akiwa na wahitimu wenzake wa PhD baada ya kula nondozzz zao
  Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Shanghai International Studies University katika mahafali yaliyofanyika Chuoni hapo jana. 
 Mdau Juma Mohammed Salum  akiwa na wahitimu wenza wa Chuo Kikuu cha Shanghai International Studies University katika mahafali yaliyofanyika Chuoni hapo jana. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...