Imekuwa ni kawaida sasa kwa hawa Waendesha bodaboda kuendesha vyombo hivyo bila kuvaa kofia ngumu japo wanazo na wameziegesha tu kwenye usukani wao kama zionekanavyo picha hizi. Hiki ni kijipu upele kinachotakiwa kutumbuliwa kwa msumali wa bati.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 25, 2016

    Hizi zote ni PESA polisi wanapoteza!!! Acheni kulalamika hamna pesa ya kugombolea magari yenu bandarini, Fanyeni KAZI,sugueni vichwa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...