Baadhi ya Marais Wastaafu wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na Wadau mbalimbali kwenye mkutano huo Mkuu wa Uongozi wa mwaka 2016 ( African Leadership Forum) ulioanza leo jijini Dar Es Salaam katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro.Mkutano huo utakaodumu kwa siku mbili umewajumuisha wadau mbalimbali wakiwemo Mabalozi wa nchi mbalimbali.PICHA NA MICHUZI JR.
Mtoa mada mkuu wa mkutano wa 'African Leadership Forum' Bw. Sipho Nkosi, ambaye ni mfanyabiashara maarufu na Mwenyekiti Mstaafu wa Chemba ya Madini kutoka Afrika Kusini akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo. Bw, Nkosi ni bilionea watatu mweusi anayeongoza kwa utajiri Afrika Kusini.
Rais mstaafu wa Afrika Kusini Mheshimiwa Thabo Mbeki akichangia moja ya mada katika Mkutano Mkuu wa Uongozi wa mwaka 2016  ( African Leadership Forum)  ulio anza leo jijini Dar Es Salaam katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro.Mkutano huo utakaodumu kwa siku mbili utawajumuisha wadau mbalimbali wakiwemo Mabalozi wa nchi mbalimbali.
 Rais Mstaafu wa Msumbiji Joachim Chissano akichangia moja ya mada mbalimbali zilizokuwa zikijadiliwa katika mkutano huo Mkuu wa Uongozi wa mwaka 2016  ( African Leadership Forum) wa siku mbili,unaondelea hivi sasa katika hoteli Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro,ambapo Mabalozi kutoka nchi mbalimbali pamoja na Wadau wengine wameshiriki.
Waziri wakuu wa Wastaafu katika awamu mbalimbali nchni Tanzania,pichani kulia ni Mh David Cleopa Msuya,Mh John Samuel Malecela pamoja na Mh.Salim,Ahmed Salim wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye  mkutano  Mkuu wa Uongozi wa mwaka 2016 ( African Leadership Forum) ulioanza leo jijini Dar Es Salaam katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro.Mkutano huo utakaodumu kwa siku mbili umewajumuisha wadau mbalimbali wakiwemo Mabalozi wa nchi mbalimbali.
Baadhi ya wafanyakazi wa taasisi ya UONGOZI walioandaa Mkutano MKuu wa UONGOZI wa 2016 sambamba na Waratibu wa Mkutano huo Kampuni ya MONTAGE wakiwa katika picha ya pamoja mapema leo asubuhi ndani ya hoteli ya Hyatt Kilimanjaro ambako ndiko mkutano huo unafanyika.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...