Meneja Mkazi wa Shirika la Ndege la RwandAir hapa Tanzania, Ibrahim Bukenya (wa pili kulia) akiwaongoza Wadau wao katika ftar ya pamoja iliyoandaliwa na Shirika hilo katika Bustani ya Hoteli ya Serena, Jijini Dar es salaam Juni 30, 2016. Kulia ni Meneja wa Shirika hilo kwa Uwanja wa Ndege wa Dar es salaam,Eugene Mugisha na Kushoto ni mkatishaji wa tiketi za RwandAir, Ahmed Baghoza
Meneja Mkazi wa Shirika la Ndege la RwandAir hapa Tanzania, Ibrahim Bukenya akizungumza machache wakati wa hafla ya Ftar waliyowaandalia Wadau wao, katika Hoteli ya Serena, Jijini Dar es salaam Juni 30, 2016. 
Sehemu ya Wadau wa Shirika la Ndege la RwandAir hapa nchini, wakimsikiliza kwa makini, Meneja Mkazi wa Shirika hilo, Ibrahim Bukenya, wakati wa hafla ya ftar iliyofanyika, katika Hoteli ya Serena, Jijini Dar es salaam Juni 30, 2016. 
Sehemu ya Wadau wa Shirika la Ndege la RwandAir hapa nchini, wakipata ftar iliyoandaliwa na Shirika hilo, katika Hoteli ya Serena, Jijini Dar es salaam Juni 30, 2016. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...