Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akifafanua jambo wakati wa kikao na  Afisa Mipango wa Masuala ya Usajili wa Vizazi na Vifo wa Taasisi ya Bloomberg ya Marekani Bw. James Mwanza (wa kwanza kulia kwa Waziri). Kikao hicho kilichohudhuriwa pia na baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo pamoja na watendaji wakuu wa RITA, kilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara jijini Dar Es Salaam.
  Afisa Mipango wa Masuala ya Usajili wa Vizazi na Vifo wa Taasisi ya Bloomberg ya Marekani Bw. James Mwanza (wa pili kushoto) akiongea kuhusu masuala mbalimbali ya Usajili wa Vizazi na Vifo katika kikao kilichofanyika ukumbi wa mikutano wa Wizara jijini Dar Es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome 
 Baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo pamoja na watendaji wakuu wa RITA, wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati)  na  Afisa Mipango wa   Masuala ya Usajili wa  Vizazi   na Vifo wa Taasisi ya Bloomberg ya Marekani Bw. James Mwanza (wa kwanza kulia kwa Waziri) baada ya kikao kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara jijini Dar Es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...