Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na
Mazingira Mh. January Makamba akiongea jambo na Balozi wa Israel Nchini
Tanzania Mh. Yahel Vilan alimpomtembelea Waziri Makamba Ofisini kwake barabara ya Luthuli jijini Dar
es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na
Mazingira Mh. January Makamba wakijadiliana jambo na Balozi wa Israel Nchini
Tanzania Mh Yahel Vilan alimpomtembelea Waziri Makamba Ofisini kwake barabara ya Luthuli jijini Dar
es Salaam. Wengine ni Maafisa toka Wizara ya mambo ya nje waliongozana na
Balozi huyo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na
Mazingira Mh. January Makamba akisoma Nakala za machapisho alizopatiwa na Balozi wa Israel Nchini
Tanzania Mh . Yahel Vilan.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...