Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Kanali Martin Mkisi akiwa amekamata moja ya bunduki mbele ya mmoja ya watuhumiwa ambao yeye kwa kushirikiana na timu yake ya Ulinzi na Usalama, wamefanikiwa kukamata watu watano wanaotuhumiwa kuwa wawindaji haramu na watekaji pamoja na silaha kadhaa walizokutwa nazo katika misitu ya wilaya hiyo. DC Mkisi amesema zoezi hilo ni endelevu na kwamba yeye na kamati yake hawatapumzika hadi vitendo vya ujangili na utekaji vimekomeshwa wilayani humo.
Home
Unlabelled
DC KASULU NA KAMATI YAKE YA ULINZI NA USALAMA WAFANYA OPERESHENI KUKAMATA MAJANGILI NA WATEKAJI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Safi sana DC Mkisi, kazi nzuri, mungu awatie nguvu zaidi. Ujangili limekuwa tatizo kubwa sana kasulu, lakini sasa naona tumepata dawa yake. Kudos kwa DC na team yake!!
ReplyDeleteHuu ndio uzuri wa kuwa na wakuu wa wilaya na mikoa ya mipakani ambao ni wanajeshi,hongera sana DC Mkisi na timu yako,hao majambazi mpaka wako me kwani wanawanyima usingizi wanaichi wasio na hatia yoyote.
ReplyDelete