BENKI ya DCB benki yakabdhi madawa 100 katika shule ya Msingi Kimara B iliyopo wilaya Mpya ya Ubungo jijini Dar es Salaam leo.

Makabidhiano hayo yamefanyika kati ya Meneja wa Mikakati na Ubunifu wa DCB Banki, Samwel Dyamo na mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo na baadae Mkuu wa Shule ya Msingi Kimara B jijini Dar es Salaam.

DCB banki ikiwa ni awamu ya mwisho ya ugawaji wa madawati katika wilaya tatu za jijini la Dar es Salaam.
Katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo, James Mkumbo akikata utepe kuashiria uzindunzi wa madawati hayo katika hafla fupi ya kukabidhi madawati yaliyotolewa na benki ya DCB katika shule ya Msingi, Kimara B. Kulia ni Meneja wa Mikakati na Ubunifu wa DCB Banki, Samwel Dyamo.
 Katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo, James Mkumbo na Meneja wa Mikakati na Ubunifu wa DCB Banki, Samwel Dyamo wakipongeza uzinduzi wa madawati katika shule ya msingi Kimara B leo.
Meneja wa Mikakati na Ubunifu wa DCB Banki, Samwel Dyamo akimkabidhi Katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo, James Mkumbo madawati ya kwaajili ya kukabidhi madawati ya Shule ya Msingi Kimara B leo jijini Dar es Salaam. 
Katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo, James Mkumbo akimkabidhi madawati Mkuu wa shule ya Msingi Kimara B, Zuxine Mponda jijini Dar es Salaam leo.
Picha na Avila Kakingo, Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...