Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Nadhani maandamano haya ni ya amani. Hakuna mtu anataka kuvuruga amani. Bali sema utawazuia kuandamna kwa sabubu hayatakiwi. Hta kama ni ya amani

    ReplyDelete
  2. Ready to protect peaceful at all costs even sheding. Then peace is more important than us. Sure there is peace without us since there is no war. But what is human peace without humans?

    ReplyDelete
  3. Mh. Nadhani kuna utata hapo. Polisi wanazuia maandamano kwa sababu waiyazuia na chadema wanakaidi zuio. Lakini kuzuia maandamano hakulindi amani kwani jamaa wanasema ni maandamano ya amani. Bali kuna linda amri. Hivo ni kuhusu utii wa maelekezo na si ulinzi wa amani.

    ReplyDelete
  4. Annony no 2 your arguments may have been sensible made in Kiswahili. "Ready to protect peaceful at all costs even sheding"!!! I gues u meant ....peace ... cost .... shedding (blood)! Of course peace must be the precusor to any existence. Without peaceful co-existence humans would have annihilated themselves. We would not have existed today as humans without peace. You must have missed or never did your human history studies. Quite likely the so called ukuta morons are in the same level of ignorance as you illustrate yourself. Pity Tanzania.

    ReplyDelete
  5. "Nadhani" maandamano haya ni ya amani? Kama ni kudhania tu hata mimi nadhani wewe hujafuatilia matamshi mbali mbali ya wanaojiita viongozi wa ukuta. Naishukuru Serikali kwamba yenyewe haiongozwi na madhanio yako na mimi. Majuto mjukuu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...