Mkuu w Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu akisani kitabu cha wageni ofisini kwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa (AICC), Elishilia Kaaya. IGP Mangu alifanya ziara katika kituo hicho ili kukagua maadalizi ya mkutano wa Kimataifa wa Wakuu wa Majeshi ya Polisi ya nchi za Kusini mwa Afrika unaotarajiwa kufanyika AICC katikati ya Septemba mwaka huu. (Picha kwa hisani ya AICC).

Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa (AICC), Elishilia Kaaya (kulia) akiongea na Mkuu w Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu alifanya ziara katika kituo hicho ili kukagua maadalizi ya mkutano wa Kimataifa wa Wakuu wa Majeshi ya Polisi ya nchi za Kusini mwa Afrika unaotarajiwa kufanyika AICC katikati ya Septemba mwaka huu (katikati) ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo. (Picha kwa hisani ya AICC).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...