Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia wa wakiwa moja ya maozezi yao ya kupasha viungo kabla ya kuanza mazoezi ya kutuliza ghasia.
Askari Polisi wa kikosi maalum cha polisi (CRT) wa mkoa wa Iringa wakiwa katika mazoezi ya utayari wa kukabiliana na matukio yoyote yatakayojitokeza katika maeneo mbalimbali.
Askari wa vikosi vya kutuliza ghasia wa mikoa mbalimbali wakiwa na magari yao wakati wa mazoezi ya utayari wa kupambana na matukio mbalimbali ya uhalifu na wahalifu katika maeneo mbalimbali.
Askari wa vikosi vya kutuliza ghasia wa wakiwa na magari yao wakati wa mazoezi ya utayari wa kutuliza ghasia na kukabiliana na matukio yoyote ya uhalifu na wahalifu.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Eh ! bwana eh akina ras makunja long time atujawaona katika blogu ya jamii sasa naona wako tayari tayari kwa yeyote atakayehitaji kuche muziki naona magitaa mkononi ...sasa wale wanao jidai oh tutacheza nao jamani jamani kina ras makunja aanaga kuremba remba

    ReplyDelete
  2. kina ras makunja wazee wa sebene kali aka wazee muziki munene ukututa mpo???

    ReplyDelete
  3. Salam ziwafikie wanashika ukuta :) chezea kina RAS MAKUNJA.

    ReplyDelete
  4. WASHIKA UKUTA AKINA RAS MAKUNJA MMEWAONA HAO ? SASA KAMA MNATAKA MUZIKI WA BONGO TAMBARARE HAYA KAZI KWENU?

    ReplyDelete
  5. CCM NI CHAMA CHENYE WANACHAMA WENGI HAPA TZ

    ReplyDelete
  6. TEh Teh Teh , ole wao washika ukuta !

    ReplyDelete
  7. Mpaka hapo ukuta mpoo!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...