Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia wa wakiwa moja ya maozezi yao ya kupasha viungo kabla ya kuanza mazoezi ya kutuliza ghasia.
Askari Polisi wa kikosi maalum cha polisi (CRT) wa mkoa wa Iringa wakiwa katika mazoezi ya utayari wa kukabiliana na matukio yoyote yatakayojitokeza katika maeneo mbalimbali.
Askari wa vikosi vya kutuliza ghasia wa mikoa mbalimbali wakiwa na magari yao wakati wa mazoezi ya utayari wa kupambana na matukio mbalimbali ya uhalifu na wahalifu katika maeneo mbalimbali.
Askari wa vikosi vya kutuliza ghasia wa wakiwa na magari yao wakati wa mazoezi ya utayari wa kutuliza ghasia na kukabiliana na matukio yoyote ya uhalifu na wahalifu.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
Eh ! bwana eh akina ras makunja long time atujawaona katika blogu ya jamii sasa naona wako tayari tayari kwa yeyote atakayehitaji kuche muziki naona magitaa mkononi ...sasa wale wanao jidai oh tutacheza nao jamani jamani kina ras makunja aanaga kuremba remba
ReplyDeletekina ras makunja wazee wa sebene kali aka wazee muziki munene ukututa mpo???
ReplyDeleteSalam ziwafikie wanashika ukuta :) chezea kina RAS MAKUNJA.
ReplyDeleteWASHIKA UKUTA AKINA RAS MAKUNJA MMEWAONA HAO ? SASA KAMA MNATAKA MUZIKI WA BONGO TAMBARARE HAYA KAZI KWENU?
ReplyDeleteCCM NI CHAMA CHENYE WANACHAMA WENGI HAPA TZ
ReplyDeleteTEh Teh Teh , ole wao washika ukuta !
ReplyDeleteMpaka hapo ukuta mpoo!!
ReplyDelete