Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Dk. Leonard Masale ambaye alimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza akizungumza na waandishi wa habari katikabanda la NSSF mara baada ya kufungua rasmi maonesho ya 11 ya Biashara ya Afrika Masharikialipotembelea banda la NSSF.
Mwakilishi wa Meneja Kiongozi NSSF Mwanza, Aloyce Limu akizungumza na waandishi wa habari.

Ofisa Mafao wa NSSF, Farida Mkande akitoa elimu kuhusu mafao ya NSSF.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...