Salim Kikeke anakuwa mtangazaji wa kwanza kutoka Tanzania kusoma habari (News anchor) katika Televisheni ya kimataifa, na kwa lugha mbili- Kiingereza na Kiswahili - bilingual presenter. BBC Focus on Africa na BBC Dira ya Dunia ya BBC Swahili TV.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Safiii sana BWANA KIKEKE ..NADHANI SIRI NI KUWA MAKINI,KUJITUMA KATIKA KAZI, KUSOMA NA KUFANYA TAFITI ILI KUWA NA ABCs ya almost kila kitu..ikifika wakati wa kukitangaza unakuwa mbele zaidi ..mwanahabari lazima uwe na upeo wa juu wa mambo mengi sana zaidi ya kusoma habari tu kama wafanyavyo walio wengi ....nilishangaa na kufurahi baada ya kusikia mtangazaji wa mashindano ya riadha yaliyoisha RIO akimpongeza mtanzania aliyeshika nafasi ya tano anajua kuwa.. Tanzania ilifanya vizuri katika riadha mwaka 1988 akamalizia kwa kusema kwa kiswahili HAPA KAZI TU..yupo informed

    ReplyDelete
  2. Hongera sana Bw. Kikeke unastahili!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...