Mkuu wa Kitengo cha Uhusino na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi.Sarah Kibonde akimkabidhi madawati Katibu Tawala wa Wilaya ya Tabora, Sweetbert Nkuba, kwa ajili ya Shule za Msingi za Manispaa ya Tabora, mkoani Tabora.
Mkuu wa Kitengo cha Uhusino na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi.Sarah Kibonde (aliyekaa kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Manispaa, Walimu Wakuu wa Shule za Manispaa ya Tabora pamoja na baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi za manispaa hiyo, mara baada ya kukabidhi madawati kwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Tabora, Sweetbert Nkuba.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule mbalimbali za Msingi za Manispaa ya Tabora, wakiwa wamekaa kwenye madawati yaliyotolewa na SSRA na kukabidhiwa na Mkuu wa Kitengo cha Uhusino na Uhamasishaji wa SSRA, Bi.Sarah Kibonde kwa ajili ya Shule hizo za Msingi mkoani Tabora. 
Mkuu wa Kitengo cha Uhusino na Uhamasishaji wa wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi.Sarah Kibonde, akiwa amesimama mbele ya wanafunzi waliokaa kwenye madawati yaliyotolewa na SSRA kwa ajili ya Shule za Msingi za Manispaa ya Tabora, mkoani Tabora.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...