Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Habibu Msammy (kulia) akiwa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Dr. Amon Mkoga yenye lengo la kupunguza uhaba wa madawati mashuleni, Amon Mkoga, kwa pamoja wakionyesha bango la Taasisi hiyo kwa wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya Uzinduzi wake ikiwa ni ishara ya uzinduzi wake, uliofanyika kwenye Hoteli ya Southen Sun, Jijini Dar es salaam.Kushoto ni Meneja wa shirika la Ndege la Qatar nchini Tanzania ambao ni wadhamini wa kuu wa mradi wa madawati uitwao Simama kaa desk campaign ambao unaendeshwa na Taasisi hiyo, Basel Haydar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...