Mkuu wa Wakurugenzi wa Kampuni ya Alarko kutoka nchini
Uturuki Bw. Izzet Garih (wa kwanza kushoto) akizungumzia kuhusu ushirikiano baina ya kampuni hiyo na
sekta ya mawasiliano, na (wa kwanza
kulia) ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayesimamia
sekta ya Mawasiliano Prof. Faustin
Kamuzora.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Dkt. Kamugisha
Kazaura akizungumza wakati wa kikao cha Ushirikiano
baina Sekta ya Mawasiliano na Kampuni ya Alarko.
|
Picha ya pamoja baada ya mazungumzo.
Mwakilishi Mkazi wa shirika la Maendeleo la Ujerumani (GIZ)
Dkt. Regine Qualmann (katikati) akizungumza jinsi wanavyoitumia TEHAMA katika kufikisha huduma, (kushoto) ni Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano anayesimamia sekta ya Mawasiliano Prof. Faustin Kamuzora na (Kulia)
ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Mhandisi Dkt. Maria Sasabo.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...