Wajumbe wa Kamati ya Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya Wanawake ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakiongozwa na Mheshimiwa Dkt. Mwinyihaji Makame wakiwa katika taswira mbalimbali walipotembelea Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Jumatano tarehe 31 Agosti, 2016 ambapo walipokelewa na Profesa Idris Rai, Makamu Mkuu wa Chuo.
Walitembelea Maktaba, Kituo cha Televisheni cha SUZA kitakachozinduliwa hivi karibuni pamoja na kufanya mkutano na uongozi wa Chuo kupata taarifa mbalimbali."

 Wajumbe wa Kamati ya Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya Wanawake ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakitembeela maktaba ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Jumatano tarehe 31 Agosti, 2016 

 Wajumbe wa Kamati ya Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya Wanawake ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar Wakiwa katika chumba cha habari cha Kituo cha Televisheni cha SUZA 

 Wajumbe wa Kamati ya Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya Wanawake ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar katika mkutano na uongozi wa Chuo kupata taarifa mbalimbali.

 Wajumbe wa Kamati ya Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya Wanawake ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar katika picha ya pamoja na Profesa Idris Rai, Makamu Mkuu wa Chuo.

Wajumbe wa Kamati ya Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya Wanawake ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakiondoka bada ya kutembelea Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Jumatano tarehe 31 Agosti, 2016 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...