Mhandisi wa Kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC), Emmanuel Owoya (Wapili kulia) akitoa mafunzo  kuhusu hatua mbalimbali za utengenezaji wa matofali bora kwa watengeneza matofali wa maeneo mbalimbali mkoani Arusha hivi karibuni. Walifundishwa pia masuala ya usalama wao mahali pakazi na kukabidhiwa vitendea kazi mbalimbali.
Mhandisi wa Kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC), Emmanuel Owoya (kulia) akitoa maelekezo kwa kuloweka tofali kwenye maji kwa Watengeneza matofali hao pia walifundwa namna bora ya matumizi ya vifaa vinavyotumika kujikinga na madhara mbalimbali yanayoweza kujitokeza wakiwa kazini. 

Wakati wa mafunzo hayo ilielezwa kuwa moja ya sababu inayopeleka majengo mengi kuanguka yakiwa katika hatua za ujenzi ni matumizi yasiyo sahihi katika uchanganyaji wa saruji na mchanga katika utengenezaji wa matofali.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ni vizuri wauzaji watofali kujua matumizi bora ya sement au saruji ili kilinda mlaji katika ujenzi wa makazi bora na salama. Tunaipongeza Twiga cement kutoa mafunzo haya na liwe funzo kwa watengenezaji wa tpfali kufuata sheria za usalama na afya kazini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...