Tazama kauli ya mjumbe wa mkutano mkuu wa CUF akifafanua jambo kuhusu hali inayoendelea ndani ya CUF; https://youtu.be/8dcj4iw1_KM
Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Mutungi awaondoa wasi wasi watanzania kuhusu hali ya kisiasa inayoendelea nchini; https://youtu.be/sdvXB_fh3Fs
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amuagiza mkuu wa wilaya ya Nkasi kuwakamata watu wanaojihusisha na uharibifu wa misitu; https://youtu.be/arC96tIIQoU
Chuo kikuu cha Dodoma UDOM kinaandaa mtaala ya shahada ya uzamili ya mafuta na gesi ili kupata wataalam wa kutosha katika sekta ya mafuta na gesi;https://youtu.be/41fjciHW1b8
Halmshauri ya wilaya ya Mufundi mkoani Iringa yabaini udanganyifu mkubwa katika vibali vya kusafirisha mbao; https://youtu.be/9gHNSMGQo1w
Pata uchambuzi makini kuhusiana na taaluma ya maendeleo ya jamii inayotolewa na vyuo takribani 9 vya wizara ya afya; https://youtu.be/2oa45_YaGvs
Je unafahamu namna sahihi ya kukuza biashara? Ungana na mchambuzi wako mahiri upate mbinu sahihi za kukuza biashara yako; https://youtu.be/EeGSLh5bzTY
Timu ya Yanga imekamilisha ratiba ya mashindano ya kombe la shirikisho barani Afrika kwa kukubali kipigo cha mabao 3 kwa 1 kutoka kwa TP Mazembe:https://youtu.be/3Ja3DUkQ9w4
Kocha msaidizi wa timu ya African Lion amesema wanaendelea kufanya marekebisho katika kikosi chao ili kufanya vizuri katika mechi yao ya ligi kuu Tanzania bara:https://youtu.be/Y97EgjBd2kA
Timu ya mpira wa miguu ya ufukweni ya Tanzania ijumaa hii itashuka ulingoni na kucheza na Ivory Coast kuwania nafasi ya kombe la kimataifa;https://youtu.be/ICyRO15NGzE.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...